"We are very happy with the education and care our child receives at Nzivi Green Star English Medium School. We have seen a positive change in confidence, discipline, and academic performance. The teachers are caring and committed to helping every child succeed."
"Kuchagua Nzivi Green Star kwa ajili ya mtoto wetu umekuwa ni uamuzi mzuri mno. Shule ina mazingira salama na rafiki, walimu wenye kujali, na inawasaidia watoto kukua kielimu na kitabia. Tunathamini sana juhudi za shule katika malezi na elimu ya watoto wetu."
"Ninapenda kusoma Nzivi Green Star kwa sababu walimu wetu wanatufundisha kwa upendo na kutusaidia kuelewa masomo. Shule imenisaidia kuwa na nidhamu, kujiamini na kupenda kujifunza zaidi."
Send Us A Message And We Will Respond Soon